Baba agomea msiba wa mtoto wake, arudishiwe uhai Jeneza lenye mwili wa kijana Kusekwa George Baba mzazi wa kijana Kusekwa George mkazi wa mtaa wa Ihushi kata ya Kishiri, Nyamagana Mwanza, amekataa kuhudhuria msiba na shughuli ya kuaga mwili wa mwanaye huyo mwenye miaka 17. Read more about Baba agomea msiba wa mtoto wake, arudishiwe uhai