Akamatwa kwa kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera John Joseph, amesema wanamshikilia mkufunzi mmoja wa chuo cha Kilimo Maruku, kilichopo katika wilaya ya Bukoba kwa tuhuma za kumuomba rushwa ya ngono mwanachuo mmoja wa kike ambaye jina lake limehifadhiwa,