Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Kushoto ni Msemaji wa Mkuu Serikali, Gerson Msigwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa serikali.