''Nkana FC saizi yetu'' - Nahimana Kikosi cha Namungo ya Ruangwa Lindi Golikipa wa Namungo Jonathan Nahimana amesema ni lazima washinde katika mchezo wao ujao wa kombe la shirikisho dhidi ya Nkana FC ya Zambia, utakao fanyika katika uwanja wa Mkapa jijini Dar-es-Salaam Jumapili hii. Read more about ''Nkana FC saizi yetu'' - Nahimana