Guardiola kuhusu kusajili mbadala wa Aguero

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola (kushoto) akimpongeza mchezaji wake Sergio Aguero (kulia).

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kwa sasa  ni ngumu kumsajili mshambuliaji mpya  kuziba nafasi ya mfungaji bora wa klabu hiyo, Sergio Aguero ambaye ataondoka klabuni hapo mkataba wake ukimalizika mwishoni mwa msimu huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS