Mafunzo ya JKT yaliweka taifa sawa 

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias John Kwandikwa amesema mafunzo ya kujitolea ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wanayotoa kwa vijana yana dhamira ya kulifanya taifa likae katika hali nzuri hivyo utaratibu wa kufanya mafunzo ni mzuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS