Rais wa Marekani Joe Biden akiwa na mbwa wake (Picha kutoka mtandaoni)
Mbwa wa Rais wa Marekani aitwaye Meja amemng’ata mtumishi mwingine wa Ikulu, siku chache tu baada ya kurudi kutoka mafunzoni Delaware ili asirudie kitendo kama hicho alichokifanya mapema mwezi huu.