Maneno ya Dkt. Mpango baada ya kuteuliwa

Dkt. Philip Mpango

Aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango ambaye ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemshukuru Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kusema amepigwa na butwaa na hakuwahi kuota.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS