Mkakati mzito wa Dortmund kwa Haaland
Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepanga kumuuza mshambuliaji wake Erling Haaland kwa dau la Bilioni 491 kwa pesa za kitanzania, ukiwa ni mkakati wa kuhakikisha hakuna klabu itakayomnunua mchezaji huyo katika dirisha la usajili linalofuata la majira ya joto.