Maamuzi ya Manchester United juu ya Solskjaer
Kwa mujibu wa jarida la michezo la 'Telegraph' la nchini England limeripoti kuwa, Uongozi wa klabu ya Manchester United ya chini humo wapo mbioni kumpa mkataba mpya kocha wake Ole Gunnar Solskjaer hata kama asipo fanikiwa kuwapa taji lolote mwishoni mwa msimu huu.