Mambo yatakayofanyika kabla ya Magufuli kuzikwa
Leo Machi 26, 2021, ndiyo inahitimishwa safari ya hapa duniani ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, ambapo atapumzishwa kwenye makaburi ya familia yaliyopo nyumbani kwake Chato.