Makonda anajambo la kumuambia Magufuli
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo ameandika kauli yake ya kwanza mtandaoni tangu kutokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, na kusema kuwa atakapoamka kuna jambo atamuambia.