Dkt. Magufuli ameliacha taifa na heshima kubwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameliacha taifa likiwa salama na heshima kubwa sana. Read more about Dkt. Magufuli ameliacha taifa na heshima kubwa