TAMISEMI sio ngumu- Waziri Ummy
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu amesema TAMISEMI si ngumu kama baadhi ya watu wanavyosema isipokuwa ni kubwa lakini utendaji kazi wa pamoja utatoa ugumu.