Gareth Bale huenda hii ikawa mara ya mwisho
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Wales, Gareth Bale amesema michezo ya kuwania nafasi ya kufuzu michuano ya kombe la Dunia itakayochezwa usiku wa leo huenda ikawa ndiyo ya nafasi ya mwisho kwake na baadhi ya wachezaji wenzake kutokana na kuwa na umri mkubwa.