Busisi kupata dakika za kumuaga Dkt. Magufuli
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema wameandaa tukio la dakika kumi nyumbani kwa mke wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambapo viongozi wa kimila na dini watatoa sala zao.