FIFA yalia kifo cha Rais Magufuli
Jumuiya ya soka kimataifa 'FIFA' limetuma salama za rambi rambi kwa shirikisho la soka nchini TFF kufuatia kifo cha Rais, Hayati, Dk.John Pombe Magufuli kilichoripotiwa kutokea siku ya Jumanne tarehe 17 Machi 2021 kwenye Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam kutokana na maradhi ya moyo.