Droo ya robo fainali UEFA na EUROPA kupangwa leo
Droo ya kupanga klabu ipi kukutana na ipi kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya 'Uefa Champions League” na michuano ya Europa inataraji kupangwa saa 8:00 mchana wa leo tarehe 19 Machi 2021 kwenye mji wa Nyon nchini Uswizi.