Ni lini Ntibazonkiza atarejea Yanga?
Wachezaji wa klabu ya Yanga, Saido Ntibazonkiza, Tomombe Mukoko na Haruna Niyonzima wanatarajiwa kujiunga na kambi ya klabu hiyo iliyoko Avic Town Kigamboni siku ya Alhamis mara baada ya kumaliza majukumu na timu zao za Taifa.