Ansu Fati kuukosa msimu mzima na EURO 2021?

Ansu Fati akishika goti lake baada ya kupata maumivu mwaka jana novemba 7.

Mshambuliaji kinda wa klabu ya Barcelona na tmu ya taifa ya Hispania, Ansu Fati huenda akakosa michezo iliyosalia ya msimu huu na michuano ya mataifa ya Ulaya UEFA EURO inayotazamiwa kuanza tarehe 11 Juni na kutamatika Julai 11 mwaka 2021 kutokana na kulazimika kufanyiwa upasuaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS