Hemed Morocco asema jambo dhidi ya Pyramids kesho
Kocha wa klabu ya Namungo, Hemed Suleiman Morocco amesema maandalizi ya mchezo wao dhidi ya klabu ya Pyramids ya nchini Misri utakaochezwa kesho saa 10:00 jioni Machi 17, 2021 kwenye dimba la mkapa, yamekamilika na watapambania ili kupata alama tatu.