Mchanganuo rekodi za Messi kwenye magoli na mechi
Mshambuliaji wa FC Barcelona na mchezaji bora wa Dunia mara sita raia wa Argentina Lionel Messi, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya ligi kuu nchini Hispania (La Liga, kufunga magoli 20 au zaidi kwa misimu 13 mfululizo.