Samia aeleza maneno aliyoambiwa na Magufuli

Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu na kulia ni aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa wakati anataka kuanza ziara yake mkoani Tanga alimtaarifa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, ambapo alimuambia kwamba aendelee tu na ziara yake kwani yeye anaendelea vizuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS