Mwili wa Mtangazaji wa ITV Blandina waagwa Dar Mwili wa Blandina ukiwa Kanisani Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa ITV/Radio One Blandina Sembu, imefanyika leo Machi 31, 2021, katika kanisa Katoliki Muhimbili Jijini Dar es Salaam. Read more about Mwili wa Mtangazaji wa ITV Blandina waagwa Dar