Alonso ataimudu Monchengladbach?

Xabi Alonso anatarajiwa kutangazwa kuwa kocha wa Borussia Monchengladbach

Xavi Alonso anatarajiwa kutangazwa rasmi kuwa kocha wa Borussia Monchengladbach muda wowote kuanzia sasa, kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Marco Rose ambaye msimu ukiisha anatajiunga na na majirani zao Borussia Dotmund

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS