Simba na Yanga za mlilia Rais Magufuli

Simba SC na Yanga SC

Klabu kongwe za soka hapa nchini Simba na Yanga zimetupa salamu za pole kwa familia na watanzania wote kwa kumpoteza Rais wa Jamuhiri ya muungo wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli aliyefariki siku ya jumatano ya tarehe 17/03/2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS