Namungo FC kutupa karata ya pili dhidi ya Pyramids
Wachezaji wa Namungo FC
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika klabu ya Namungo FC watashuka dimbani jioni ya leo kucheza dhidi ya Pyramids ya Misri, huu ni mchezo wa kundi D.