Jurgen Klopp, Liverpool bado sana Ubingwa UEFA

Picha ikionesha baadhi ya matukio katika mchezo wa usiku wa jana ambapo Liverpool aliifunga RB Leipzig 2-0.

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema timu yake bado haina nafasi ya kubebea ubingwa wa michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya licha ya kufuzu kwa kishindo kwa kuwafunga RB Leipzig ya Ujerumani mabao 2-0 usiku wa jana kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora wa michuano hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS