Simba dhidi ya TZ Prisons, Manula arejea kikosini
Mlinda mlango wa kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba, Aishi Manula amerejea kwenye kikosi cha kwanza ambacho saa 1:00 usiku wa leo kinataraji kushuka dimbani kucheza dhidi ya wajela jela klabu ya TZ Prisons kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.