Moto wateketeza karakana Geita Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza karakana ya kutengeneza samani za ndani katika mtaa wa Mkoani, kata ya Kalangalala, manispaa ya Geita, Mkoani Geita. Read more about Moto wateketeza karakana Geita