Waziri Mkuu aridhishwa na mapambano dhidi ya Nzige
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema ameridhishwa na kazi kubwa ya kupambana na makundi ya Nzige yaliyovamia nchini iliyofanywa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana mashirika mawili ya kupambana na Nzige barani Afrika.