Simba yamtoa mshambuliaji mmoja Charles Ilanfya akifanya mazoezi alipokuwa na kikosi cha Simba. Klabu ya Simba imemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake, Charles Ilanfya kurudi kwenye klabu yake ya zamani ya KMC kwa kandarasi ya miezi sita itakayomalizika mwishoni mwa msimu huu. Read more about Simba yamtoa mshambuliaji mmoja