Vita vya jiji la Manchester kuamua msimamo EPL

Makocha toka jiji la Manchester Ole Gunnar Solskjaer na Pep Guardiola wanaowania uongozi wa ligi EPL

Manchester United na Manchester City, zinashuka dimbani leo kusaka alama tatu muhimu na wapinzani tofauti, matokeo yanayoweza kubadili msimamo wa ligi hasa kwenye nafasi ya kwanza, ambayo inashikiliwa na Leicester City.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS