Alaba Kutua Madrid, hatma ya Ramos mashakani

David Alaba ameshinda jumla ya mataji 23 na kikosi cha the Bavarians tangu alipojiunga na kikosi hicho 2008

Inaripotiwa kuwa beki wa Bayern Munich David Alaba amefikia makubaliano ya kujiunga na klabu ya Real Madrid ya Hispania mwishoni mwa msimu huu pindi atakapomaliza mkataba na miamba hiyo ya Ujerumani na atasaini mkataba wa miaka 4 na Los Blancos.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS