Trump atoa maamuzi siku ya mwisho ya urais wake
Rais wa Marekani anayemaliza muda wake hii leo Januari 20, 2021, Donald Trump, ametoa msamaha kwa wafungwa 73 na kupunguza adhabu kwa wafungwa wengine 70. Miongoni mwa waliosamehewa ni pamoja na aliyekuwa mshauri wake mkuu Steve Bannon na rapa Lil Wayne.