Chelsea kuboronga, Lampard alia na Muunganiko
Kocha wa kikosi cha Chelsea, Frank Lampard amesema sababu za timu yake kuboronga kwa siku za hvi karibuni ni kutokana na kukosa muunganiko baada ya ujio wa wachezaji wengi wapya na mchanganyiko wa wachezaji wenye umri mdogo wasio na uzoefu.