Menina afunguka ya Chidi Benz, Mr Nice na 20%

Msanii wa filamu Menina Legria

Msanii wa filamu Menina Legria ameeleza kuwa wasanii kama Chidi Benz, Mr Nice na 20 Percent ndiyo walipaswa wawe na utajiri na mafanikio ili Alikiba na Harmonize wawapigie magoti maana walikuwa wamoto sana enzi zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS