Sababu ya Shilole kuzimia wakati anavishwa pete
Msanii Shilole amenyoosha maelezo kufuatia 'surprise' aliyofanyiwa kwa kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake Rommy 3D hali iliyopelekea kuzimia wakati linafanyika tukio hilo kwenye 'birthday party' yake.