Aliyebaka na kulawiti afungwa maisha Lindi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kumbaka na kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita. Hukumu hiyo imesomwa Juni 25, 2025

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS