Waziri Mhagama awaasa wafanyakazi OSHA katika hili
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amewaasa wafanyakazi wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia weledi ili kuwa na tija