Michuano ya CECAFA yarejea rasmi
Baraza la Michezo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kuwa yatafanyika katika vituo viwili vya Arusha na Karatu na kuanzia Novemba 22 hadi Disemba 2.