Magufuli aipa neno Stars, mchezo wa kihistoria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, ameitakia kheri, timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za AFCON mwaka 2021 dhidi ya Tunisia leo usiku.