Kunenge Atoa tamko Kuhusu Mvua zinazoendelea Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge amesema serikali inafanya jitihada mbalimbali ikiwemo kurekebisha mifereji iliyopo pembezoni mwa barabara na kutanua mito ili kuondoa changamoto ya mafuriko katika Jiji hilo.