Bayern yapata pigo, Kimmich nje hadi mwakani
Kiungo wa Bayern Munich, Joshua Kimmich atakaa nje ya uwanja hadi mwezi Januari baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti aliloumia Jumamosi iliyopita wakati The Bavarians ilipoitandika Borussia Dortmund bao 3-2.