Messi achoshwa na shutuma dhidi yake Lionel Messi katika majukumu yake katika klabu ya Barcelona. Nyota wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Lionel Messi amesema amechoka maisha ya kulaumiwa kuwa ndiye chanzo cha matatizo ndani ya klabu hiyo. Read more about Messi achoshwa na shutuma dhidi yake