Mwenyekiti CCM arejesha kiwanja alichojimilikisha
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kata ya Bagamoyo wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Charles Mbaluka, amerejesha kiwanja cha chama hicho alichokuwa amejimilikisha kinyume na utaratibu tangu mwaka 2015.