Rekodi za Yanga VPL ni hatari
Klabu ya Yanga imeuanza msimu wa 2020-21 vizuri tofauti na wengi walivyotarajia, mpaka sasa timu hiyo haijapoteza mchezo hata mmoja wa ligi na ipo nafasi ya pili kwenye msimamo na wanashikiria rekodi kadhaa hadi hivi sasa.