Alichokisema Ndayishimiye baada ya JPM kuteuliwa
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amempongeza Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, baada ya hapo jana kutangazwa rasmi kuwa ndiye mshindi wa kiti hicho baada ya kupata kura 12,516,252.