Simba na Yanga dhidi ya vizingiti vya maafande VPL Kikosi cha Yanga kitaongozwa na kocha Cedric Kaze kwa mara ya kwanza kwenye mchezo dhidi ya Polisi Tanzania Michezo miwili ya ligi kuu soka Tanzani bara raundi ya 7 itachezwa jioni ya leo Oktoba 22, 2020, jijini Dar es salaam na mkoani Rukwa. Read more about Simba na Yanga dhidi ya vizingiti vya maafande VPL