Viongozi wa Dini watoa ujumbe huu kwa wagombea Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadj Mussa. Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, 2020, wanasiasa wameaswa kutotumia lugha za matusi, vitisho na kejeli ili kumaliza mchakato huo salama bila kuivuruga amani iliyopo nchini. Read more about Viongozi wa Dini watoa ujumbe huu kwa wagombea